MWONGOZO WA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA RUZUKU YA MBEGU ZA MAHINDI MSIMU WA 2024/2025
MWONGOZO WA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA RUZUKU YA MBEGU ZA MAHINDI MSIMU WA 2024/2025
18 Oct, 2024
Pakua
Mwongozo huu umeainisha wadau mbalimbali na wajibu wao katika kufanikisha utekelezaji wa mpango wa ruzuku ya mbegu bora za mahindi kwa wakulima kwa msimu wa 2024/2025. Wadau hao ni pamoja na Wizara ya Kilimo, TOSCI, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Wazalishaji/Waagizaji wa Mbegu,Mawakala (Agrodealers) wa mbegu, Taasisi za Fedha, Wakulima wa zao la mahindi na wadau wengine muhimu.