Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) ni taasisi iliyo chini ya Wizara ya Kilimo ambayo ilianzishwa kwa Sheria ya Mbegu Na. 18 ya Mwaka 2003. TOSCI ina wajibu wa kuthibiti ubora wa mbegu za mazao ya kilimo zinazozalishwa au kuingizwa nchini kwa matumizi
Kusimamia mwelekeo wa shughuli ili kufikia lengo la taasisi. Shughuli hizi ni pamoja na sheria, majukumu, na wajibu wa Idara au Vitengo. Pia, mtiririko wa taarifa ndani ya taasisi
Taarifa kwa umma, Maktaba ya Video na Picha, Habari, Kutoka Magazetini na Makala, Video na Picha za Matukio mbalimbali zinapatikana kutoka sehemu hii.
Machapisho mbalimbali ya taasisi kama Sera, Sheria, Mpango Mkakati, Kanuni, Mkataba kwa Mteja, Fomu, Majarida na Ripoti zinapatikana hapa.
TOSCI ina ofisi tano, Makao Makuu yapo mkoani Morogoro. Ofisi zingine ni kanda ya Kaskazini - Arusha, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini - Njombe, Kanda ya Ziwa - Mwanza na Kanda ya Kusini - Mtwara.
-