Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu

WCF Logo
MWONGOZO WA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA RUZUKU YA MBEGU ZA MAHINDI MSIMU WA 2024/2025
18 Oct, 2024
MWONGOZO WA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA RUZUKU YA MBEGU ZA MAHINDI MSIMU WA 2024/2025

Mwongozo huu umeainisha wadau mbalimbali na wajibu wao katika kufanikisha utekelezaji wa mpango wa ruzuku ya mbegu bora za mahindi kwa wakulima kwa msimu wa 2024/2025. Wadau hao ni pamoja na Wizara ya Kilimo, TOSCI, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Wazalishaji/Waagizaji wa Mbegu,Mawakala (Agrodealers) wa mbegu, Taasisi za Fedha, Wakulima wa zao la mahindi na wadau wengine muhimu. Bofya kupakua mwongozo